Ushindi Mkuu kwenye maisha yako, ni kuweza kuwa wewe kwenye dunia ambayo inakazana kukubadilisha uwe kama wengine, uwe vile usivyo wewe ,kuwa wewe kwenye dunia inayokazana kukubadilisha uwe kama wengine ni mafanikio makubwa Mwanafalasafa Ralph Waldo Emerson anatushirikisha jambo hili.
Tafakari ya kufikirisha 179/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply