Maisha yana namna moja ukipaniki ndio unapigwa; kama uliibiwa ukiwa kijana au kutapeliwa ukiwa mtu mzima, usirudie makosa jifunze kwa makosa uliyopitia kwani kuna hali ya kupaniki ambayo walikuwekea ili waweze kutimiza lengo lao hilo.
Tafakari ya kufikirisha 177/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply