Baada ya muda wa kazi rasmi unayoifanya kuna muda ambao unaupoteza hapo ndipo kwenye ulevi wako, Ndio hapo ndio kwenye ulevi wako kama ukimaliza shughuli unaangalia mpira mpaka usiku wa manane hapo ndipo kwenye ulevi wako,kama unaenda kupiga umbea na kufuatilia maisha ya watu wengine hapo ndio penye ulevi wako ,kama unapata moja mbili na kingine chochote tambua hapo ndio kwenye ulevi wako, kitu muhimu ni kutambua kwa faida au hasara za huo ulevi wako ili uweze kuutumia kwa manufaa zaidi.
Tafakari ya kufikirisha 173/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply