Maisha yana namna moja ukipaniki ndio unapigwa,kama uliibiwa ukiwa kijana au kutapeliwa ukiwa kijana usikubali kutapeliwa ukiwa mtu mzima,usirudie makosa jifunze kwa makosa uliyopitia ili uweze kuchukua hatua zaidi za kukabiliana na ushawishi wa kupata matokeo makubwa kwa kutumia nguvu kidogo.
Tafakari ya kufikirisha 170/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply