Tafakari ya kufikirisha 160/366-2024

Usipoteze muda kutafakari mtu bora anatakiwa kuwaje bali kuwa mtu bora, usipoteze muda mtu mwema anatakiwa kuwaje kuwa mtu mwema watu wengi wamekuwa wakitumia muda mwingi kutafakari ubora wa kitu badala ya kuchukua hatua mfano kama unaona mtu anapost vitu vya hovyo wewe tuma vitu vya maana badala ya kupoteza muda kulaumu wewe fanya kile kilicho bora Mwanafalsafa Marcus Aurelius anatushirikisha jambo hili.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *