Mafanikio siyo kile unachokiona bali kuna vitu ambavyo viko nyuma ambavyo hauambiwi na waliofanikiwa hawakuambii bali ukifikia hiyo hatua ndiyo watakuambia kwenye kila Mafanikio kuna ugumu nyuma yake ambapo hadithi nyingi za Mafanikio hauwezi kusikia.
Tafakari ya kufikirisha 150/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply