Kwenye kusaka Mafanikio hauhitaji hamasa kutoka kwa wengine. Chukua hamasa ya ndani yako katika kuweka malengo. Malengo ambayo yanakudai kila mara unapolifikia lengo la awali Mwandishi Tom Ruth anatushirikisha jambo hili kwenye kitabu chake cha Strength Finder.
Tafakari ya kufikirisha 130/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply