127/366-2024 ” Ukweli wowote hauna umuhimu kulinganisha na mtazamo kuhusu hicho kitu, kwa kupitia mtazamo ndio unatambulisha mafanikio au kushindwa by Norman Vincent Pearle ,mfano hata kama unauza kitu kizuri kama mtu mtazamo wake ni bei kubwa mtazamo wako ndio utaamua zaidi kuliko ubora wa hicho kitu.
Tafakari ya kufikirisha 127/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply