Tafakari ya kufikirisha 115/366-2024

Kila kuchomoza kwa jua kunaleta fursa mpya na kila kuzama kwa jua kunaleta matokeo na uwajibikaji, hivyo kila jua likichomoza tunapaswa kuona kuna fursa mpya tumeipata iwe kwa kujifunza zaidi au ya kupiga hatua zaidi kwenye kufanya na linapozama kufanya tathmini Mwandishi bora wa kitabu hiki Shiv Khera anatushirikisha jambo hili kwenye kitabu chake cha unaweza kufanikiwa zaidi.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *