Ukosefu wa uwajibikaji binafsi umekuwa ugonjwa mkubwa. Kunyoosheana vidole na kulaumu wengine ni aina ya kushindwa kwa tabia ya uwajibikaji mwandishi Shiv Khera anatushirikisha kwenye kitabu chake cha unaweza kufanikiwa zaidi.Mfano umeenda kwenye Hoteli au Mgahawa ukaagiza chakula na Mhudumu akaleta oda tofauti na uliyoagiza badala ya kukubali amekosea atalaumu wa jikoni kwa nini haufuati maelekezo au kwa nini mara zote mnakosea
Tafakari ya kufikirisha 113/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply