Mipaka ambayo tumejiwekea wenyewe ndio inayotuzuia.Siyo kitu cha kushangaza kuona rekodi nyingi zinawekwa na watu ambao wanaonekana ni wajinga ambao hawajajiwekea mipaka kuliko wale ambao wanaonekana werevu hata kwenye kufanya gunduzi mbalimbali kwenda nje ya mipaka kunakufanya kujaribu vitu vipya zaidi ya vile ulivyozoea kufanya kila siku Mwandishi Shiv Khera anatushirikisha jambo hili kwenye kitabu chake cha You can achieve more.
Tafakari ya kufikirisha 112/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply