Lazima tuwe na uwiano kati ya familia na marafiki,nyumbani na kazi ,tunachoingiza na tunachotumia, hata sukari kwenye miili yetu vyote kinachozidi au kupungua kina madhara.Vitu mojawapo ya vitu vigumu kuweka kwenye maisha ni hivi hapa chini:
– Hisia na Utashi
– Mahusiano na kujitoa
– Upole na Uimara
Ni Vitu ambavyo havifundishwi darasani Shiv Khera anatufundisha kwenye kitabu chake cha You Can Achieve More
Leave a Reply