Tafakari ya kufikirisha 108/366-2024

Ni bora kuwa na mtu mmoja ambaye anafanya kazi pamoja na sisi ambaye hamasa inatoka ndani yake kuliko kuwa na watu mia moja wanaofanya kazi kwa niaba yetu lakini hamasa haitoki ndani yao.Wale ambao wanafanya kazi na sisi wanavaa uhusika kwenye tunachofanya kuliko wale wanaofanya kwa niaba yetu mwandishi Shiv Khera kwenye kitabu chake cha unawea kufanikiwa zaidi anatushirikisha jambo hili katika kuchukua uhusika wa kazi kwa kuifanya kwa kuifurahia na kutoka moyoni.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *