Mara nyingi tumekuwa tukiangalia dunia kwa nje na kusahau kwa ndani.Dunia kwa upande wake wa ndani ni bora kuliko upande wa nje.Tunaviona vitu siyo vile vilivyo bali sisi tulivyo.Kosa kubwa ni kuona kila kinachotunguka na kutojiona ndani yetu sisi wenyewe.
Tafakari ya kufikirisha 107/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply