Tafakari ya kufikirisha 105/366-2024

Ni rahisi kufanya kitu sahihi mara ya kwanza na kila wakati kuliko kuelezea kwa nini hatujafanya na kurekebisha kule kutofanya hapo baada mfano ni rahisi kufanya mazoezi dakika 30 kila siku kuliko kuelezea kwa nini haukufanya pale utakapopata changamoto za kiafya ambazo zingeweza kuepukika kwa zoezi hilo Mwandishi Shiv Khera ametushirikisha jambo hilo kwenye kitabu chake cha Unaweza kufanikiwa zaidi.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *