Pamoja na kwamba tunatakiwa kuwa madereca makini, lakini pia tunatakiwa kuwa makini na kujilinda sisi wenyewe kwa madereva ambao siyo makini. Kama hatuendeshi gari tukiwa tumelewa hivyohivyo tunapaswa kujitenga na madereva waliolewa.Hiyo ndio njia ya rahisi ya kujitenga na kuvutwa na hisia.
Tafakari ya kufikirisha 104/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply