Tafakari ya kufikirisha 99/366-2024

Watu wote tunafikiria jinsi ya kuibadilisha dunia lakini watu waliofanikiwa mara zote wanafanyia kazi kubadilika wao wenyewe kwanza kabla ya kwenda kuibadili dunia mwandishi Shiv Khera kwenye kitabu chake cha Unaweza kufanikiwa zaidi anatusititiza jambo hili kwa kina kwamba tunapaswa kubadilika wenyewe kwanza na hapo tutaweza kuleta chachu kwa dunia mzima na jamii kupitia mabadiliko ambayo yametoka ndani yetu.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *