Kilicho nyuma yetu na kilicho mbele yetu ni mambo madogo ukilinganisha na uwezo wetu mkubwa ambao uko ndani ndani maana wanasaikolojia na wataalamu wanasema pamoja na mambo makubwa ambayo wanadamu wamefanya na ugunduzi bado ni asilimia kumi tu ya uwezo wa ubongo imetumika.
Tafakari ya kufikirisha 90/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply