Kitu kinachotuumiza siyo kile kilichotokea bali ni mwitikio wetu kwenye kile kitu kilichotokea.Vitu vinaweza kukuumiza kimwili au kiuchumi na kukupa huzuni. Lakini tabia zetu ndio msingi mkuu hazitakiwi kuumizwa kamwe. Ni ukweli kwamba nyakati ngumu zinaweza kutulazimisha kutengeneza nguvu ambayo iko ndani yetu ili kukabiliana na mambo magumu kwa baadae na kuwapa hamasa watu wengine kufanya hivyo pia wakipitia hali kama hizo ambazo umepitia.
Tafakari ya kufikirisha 87/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply