Mafanikio yetu, ile hali ya kuridhika na furaha zinategemea uwezo wetu wa kushirikiana na watu wengine, msingi mkubwa wa kushirikiana na watu wengine ni kujiweka wewe katika nafasi yake badala ya kuwaweka kwenye nafasi yao, wafanyie watu kile ambacho wewe ungependa kufanyiwa kuwatia Moyo,kuwakubali,kuwasamehe,kuwasikiliza na kuwaelewa waone watu kama hazina na siyo wanaokupinga, neno sisi ni neno bora zaidi katika lugha mwandishi John Maxwell kwenye kitabu chake cha Kuwa mtu wa watu ameeleza kwa kina dhana hii.
Tafakari ya kufikirisha 82/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply