Hatuwezi kuwa vile ambavyo tunataka kwa kuwa vile ambavyo tupo sasa hivi , kwa chochote ambacho tunataka kukibadili zaidi ya tulivyo sasa lazima tuchukue hatua zaidi kwa vitendo ambavyo mara zote lazima vitahusisha kufanya au kutoka pale ulipo ili kuwa bora zaidi hauwezi kupunguxa uzito kama unataka kuendelea kula kila mlo kama imeandikwa kwenye katiba ,hauwezi kuongeza kiwango fulani cha ujuzi kama hautengi muda wa kujifunza zaidi,hivyo kwa chochote unachotaka kukiboresha lazima ubadilike au kubadili mtindo fulani wa maisha.
Tafakari ya kufikirisha 74/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply