Tabia moja ambayo inafanana na ipo kwa waliofanikiwa ni kwamba wamevuka au hawana tabia ya kukata tamaa, ndio maana wanaweza kukatishwa tamaa lakini wakaendelea kufanya yale ambayo wamepanga kufanya bila kusubiri maoni ya watu hivyo mara zote ukiwa unafanya jambo endelea kufanya bila ya kusubiri maoni ya watu ili kuweza kupiga hatua zaidi kwenye maisha nukuu toka kwa Peter Lowe.
Tafakari ya kufikirisha 73/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply