Kama unataka kushindwa amini kwenye bahati.Kama unataka kufanikiwa amini kwenye kanuni za vitendo na matokeo, hapo utajingenezea bahati yako binafsi nukuu toka kwa Shiv Khera, Mwandishi anatusisitiza kwamba bahati inatokana na kuchukua hatua na siyo kitu kingine chochote.
Tafakari ya kufikirisha 67/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply