Tafakari y kufikirisha 65/366-2024

Sababu kuu ya wale wanaoshindwa kufanya makubwa kwenye muda walionao ni yale wanayochagua kufanya kwenye muda huo.Wanaoshindwa kufanya makubwa wanatumia muda wao kufanya mambo yasiyokuwa na tija. Kwa maneno mengine wanatumia muda huo kuhangaika na usumbufu badala ya kuhangaika yale yenye tija ambayo ambayo yatachangia mtu kupiga hatua zaidi kwenye maisha yao nukuu toka kwa Mwandishi Dr. Makirita Amani.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *