Kama unataka kufanikiwa unatakiwa kuweka umakini kwenye vile vitu ambavyo unaweza kuvifanya kuliko vile ambavyo hauwezi kuvifanya,changamoto kubwa imeanzia kwenye jamii ,wazazi na shule mfano mzazi anaweza kumlaumu mtoto kwa masomo aliyoshindwa badala ya kumuongezea nguvu na pongezi kwa yale ambayo ana uwezo mkubwa ndani yake ili aweze kuwa bora zaidi. Kwenye vile ambavyo unavijua unatakiwa kuweka nguvu zaidi kwenye vitu hivyo ili kuweza kupiga hatua zaidi.
Tafakari ya kufikirisha 62/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply