Kama utaishi muda mrefu lazima utafanya makosa.Lakini kama utajifunza kutokana na makosa utakuwa mtu bora.Ni jinsi gani unakabiliana na matatizo na siyo jinsi gani yanakuathiri. Kitu kikubwa ni kutokata tamaa, kutokata tamaa kutokata tamaa
Tafakari ya kufikirisha 53/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply