Sisi ni zao la kile ambacho tunakirudiarudia kufanya,Ubora siyo kufanya bali ni kurudiakurudia ndio maana ukifanya jambo fulani mara kwa mara hata kwenye jamii watu watakuita kwa jina hilo kwa sababu utakuwa umeona ubora kwenye kitu hicho hivyo kwa chochote unachofanya jua ubora upo kwenye kurudiarudia na siyo kufanya mara moja ndio maana ukiwa unafanya mazoezi mara kwa mara utaitwa mwanamazoezi ukiwa unalalamika mara kwa mara bila kutoa suluhisho utaitwa mlalamishi na mengine mengi mwanfalsafa wa Roma Aristole anatusisitiza katika jambo hili mara zote.
Tafakari ya kufikirisha 47/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply