Watu wengi wanaoshindwa siyo kwa sababu hawana uwezo au akili lakini wanashindwa kwa sababu ya kukosa kuamua,uelekeo,kujitoa na , nidhamu Nukuu toka kwa Shiv Khera ambapo mwandishi anakwenda kinyume na dhana za kwenye jamii kwamba watu waliofanikiwa lazima wawe na akili au uwezo fulani mkubwa ndio wapate mafanikio bali lazima kuwa na vitu vingine vya ziada kama hivyo vilivyotaja na mwandishi.
Tafakari ya kufikirisha 41/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply