Mahusiano ndio kila kitu. Kila kitu ulimwenguni ambacho ni kwa sababu ya kinahusiana na kitu kingine.Hakuna kitu ambacho kipo kwa kujitegemea chenyewe. Tunatakiwa kuacha kuigiza kwamba tutakwenda navyo peke yetu nukuu toka kwa Margaret Wheatley, tafakari hii inatupa hamasa kwamba vitu …ambavyo tunafanya mara zote tukifanya kwa ushirikiano tutapata mafanikio makubwa zaidi kuliko tukifanya peke yetu kama vile wabobezi wa Kiswahili walivyosema Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
Tafakari ya kufirikisha 38/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply