Hauwezi kuwa mjasiriamali uliyefanikiwa kama hauko tayari kupoteza uwekezaji wako. Kama mradi wako umekufa, usione kama umefunikwa na wingu. Cheka kwa huko kushindwa, na jifunze kwenye makosa. Ni sehemu muhimu ya mchezo. Wakati mwingine utakuwa bora zaidi nukuu toka Strive Masiyiwa
Kwenye Nukuu hii Bilionea Strive Masiyiwa anasisitiza kwenye kuchukua hatua kwenye kuanza na kama ikitokea umepoteza angalia wapi ulikosea na hiyo kuwa sehemu ya kujifunza na kuweza kupiga hatua makubwa kwenye maisha kama sehemu ya kuanzia baada ya kujifunza.
Leave a Reply