Chochote unachokifanya kiwe kizuri au kibaya kinatumia nguvu ileile hivyo kwa Chochote unachofanya hakikisha unafanya kizuri maana nguvu unazotumia kufanya ni kwa kutumia muda uleule ambao upo nao kwa wakati husika.
Tafakari ya kufikirisha 26/366-2024
by
Tags:
Leave a Reply