Tafakari ya kufikirisha 19/366-2024

Mara zote kama unataka kuwa na bahati kwenye maisha yako, kuwa mtu wa kufanya hata kama kwa hatua ndogo. Mara zote fanya, ukipata matokeo sahihi endelea kufanya na ukikosa matokeo yaliyo sahihi boresha na rudia tena kufanya tena. Hivi ndivyo matokeo makubwa yanavyojengwa kwenye maisha, kwa kufanya bila kuacha. Tafiti zinaonesha watu ambao hawawezi kukaa bila kufanya kutu fulani, hao wamekuwa wanapata matokeo mazuri kuliko wengine kama vile wahenga walivyosema mkaa bure siyo sawa na mwenda bure.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *