Tafakari ya kufikisha 15/266-2024

Kitu kimoja kikubwa kinachowafanya watu kitu kwa ubora ni kwa sababu hawategemei kushinda. Wanaona ni sehemu tu ya kawaida na hivyo kufanya kawaida.Sasa kuanzia leo acha kufanya mambo kwa njia hii. Kila unachofanya, tegemea kushinda ,hata kama ni kitu kigumu,hata kama ni kitu kipya kwako, tegemea kushinda. Na mategemeo hayo yatakusukuma wewe kwenda hatua ya ziada na ni hatua hii itakayokuletea ushindi mkubwa


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *