Ushindi tunaoutaka kwenye maisha sio kama mbio ambapo mmoja akishinda wengine wote hamna tena nafasi ya kushinda kwenye mbio hizo mlizoshiriki kwenye wakati husika. Ushindani wetu kwenye maisha ni mbio nyingi ambazo kila mmoja wetu anajua anakimbia kuelekea wapi. Katika mbio hizi nyingi ndio kila mmoja wetu anaweza kushinda kulingana na uwezo wake tofauti na wengine.
Tafakari ya kufikirisha 13/366- 2024
by
Tags:
Leave a Reply