Tafakari ya kufikirisha
Ukishapata ushindi kila mtu atakusifia na kusema una akili nyingi.Kila mtu atapenda kujifunza kwako.Lakini kabla ya ushindi,utaonekana huna lolote.Hivyo basi, usiache mpaka umepata ushindi unaotaka kuupata, hata kama hakuna anayekuelewa.Endelea kuvumilia na kupambana, ushindi utakaoupata utafuta yote unayopitia sasa.Ukiweza kuziba masikio yako na kuweka juhudi mpaka upate ushindi, utaweza kufanya makubwa sana nukuu toka Dr. Makirita Amani
by
Tags:
Leave a Reply