Tafakari ya kufikirisha

Makosa makubwa mawili ambayo watu wengi wanayarudia rudia kwenye maisha ni kutokufanya kabisa au kukata tamaa baada ya kufanya na kukosea.
Njia ya kuvuka makosa hayo ni kufanya kwa mwendelezo bila kuacha.
Kila unapofanya unajitathmini na kuangalia wapi pa kuboresha zaidi unapofanya tena.
Ukienda hivyo kwa muda mrefu, utayafuta makosa mengi na kuishia kuwa bora zaidi Nukuu toka Dr.Makirita Amani


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *