Tafakari ya kufikirisha

Watu huwa wana tabia ya kujaribu kuvuka mipaka uliyoweka ili kuona utachukuliaje hilo.
Hivyo kama hujaweka mipaka imara na kuweka madhara pale mtu anaposhindwa kuizingatia, fujo zinakuwa nyingi sana.Hakuna chochote kikubwa kitakachoweza kufanyika kwa kila mtu kujiamulia vile anavyotaka yeye mwenyewe.Ukiwaruhusu watu kuvuka mipaka uliyoweka, hata kama ni kidogo tu, wataenda zaidi ya ulivyowaruhusu.Na hapo unakuwa huna tena ujasiri wa kuwazuia kwa sababu umeshakubali kuvunja kile ulichoweka wewe mwenyewe.


Posted

in

by

Tags:

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *